Mataifa Yakujue

By John Lisu

Lyrics

Kabla ya misingi kuweko 

Ulikuweko Bwana

Kabla ya misingi kuweko 

Ulikuweko Bwana


Kabla ya jua na mwezi 

Ulinifanya ukanichagua 

Ili nikuabudu wewe 


Mataifa yakujue wewe ni Bwana 

Mataifa na yajue unamiliki 

Twakuabudu wewe pekee unastahili

Twakuabudu wewe pekee unamiliki

Twakuinua wewe pekee unastahili

Twakuinua wewe pekee unamiliki


Haleluya Haleluya Haleluya 

Haleluya Haleluya Haleluya 


John Lisu ft Ft. Bomby Johnson 

Music Video