Roho Mtakatifu

By John Lisu

Lyrics

Roho mtakatifu twakuhitaji uje 

Kama upepo mwingi utuvumie 

Kama moto mkali twakuhitaji uje 


Roho mtakatifu twakuhitaji uje 

Kama upepo mwingi utuvumie 

Kama moto mkali twakuhitaji uje 


Uweponi mwaka Bwana natamani

Nipande nikae nawa Bwana 

Uweponi mwaka Bwana natamani

Nipande nikae nawa Bwana 

Uweponi mwaka Bwana natamani

Nipande nikae nawa Bwana 


Napenda nikae nawe Bwana

Napenda nikae nawe Bwana

John Lisu - Roho Mtakatifu