Uko Hapa

By John Lisu

Lyrics

Uwepo wako uko mahali hapa 

Na nguvu zako Yesu 

Ziko mahali hapa 

Unijaze nguvu zako ooh nakuabu 


Uko hapa, uko hapa 

Twatuza jina lako 

Twakuabudu uko hapa 


Uko hapa, uko hapa 

Twatuza jina lako 

Twakuabudu uko hapa 


Twakuinua twakuinua 

Twatuza jina lako 

Twakuinua uko hapa 


Twakupenda twakupenda 

Twatuza jina lako 

Twakupenda uko hapa 


Oooh oooh ooooh 

Oooh oooh oooooh 


...


Uko hapa uko hapa Mungu

Tunaouona uwepo wako

Uko hapa kubadilisha

Uko hapa kuponya

Uko hapa kutenda mambo makuu

Ewe Bwana uko hapa


Uko hapa, uko hapa 

Twatuza jina lako 

Twakuabudu uko hapa 

John Lisu-Uko Hapa (Official Video)