Ni Neema - Tumepewa Neema Lyrics

By Judia

Lyrics

Nina neno leo nataka niongee nanyi 

Nina ujumbe kwenyu nataka niongee nanyi 

Nimetumwa kwenyu nataka niwape habari 

Nataka nizungumze na watoto wa Afrika 


Katika mapito Yetu Bwana atatukumbuka 

Njaa inayotukumbuka Bwana atatukumbuka 

Vita zinazotukumba Bwana atatukumbuka 

Magonjwa yanayotutesa, Bwana atatukumbuka 

Nimetumwa nizungumze na watoto wa Afrika 


Kanisa tumsifu Mungu maana tumepewa neema 

Wahubiri hubirini kwa kweli maana tumepewa neema 

Wana Afrika tumwabudu Mungu, Maana tumepewa neema 

Ni Nee Neema Nee neema, Ni Nee Neema Nee neema,


Tusipoomba kwa bidii hakuna atakayekula mali za jo*

Tusipo omba kwa bidii hakuna atakeyekuja maliza vita 

Tusiposhikama hakuna atakayevunja hali za magonjwa 

Tusiposimama wenyewe hakuna atakayekuja kututetea 

...

SMS: SKIZA 8540277 TO 811 TO GET THIS SONG


Now Playing...