Lyrics

Sifuni sifuni sifuni Bwana 

Sifuni sifuni sifuni Bwana 

Sifuni sifuni sifuni Bwana ah 


Nikitazama upendo wako Baba 

Umenitoa kwenye mavumbi 

Ukanivika heshima Baba 

Machozi yote kayavute eh Baba 

Wewe ni mwamba tena salama 

Say Halleluyah 


Sifuni sifuni sifuni Bwana 

Sifuni sifuni sifuni Bwana 

Sifuni sifuni sifuni Bwana ah 

(Katuvuta machozi) 

Sifuni sifuni sifuni Bwana 

(Mungu wetu) 

Sifuni sifuni sifuni Bwana ah


Nikikumbuka alikonitoaa 

Nikikumbuka nilikuwa ule-lelee 

Nililia usiku mchana 

nikisubiri neema yake  

Alikuja chini mapema 

Kanijaza furaha yake 


Sifuni sifuni sifuni Bwana 

(ametenda maajabu)

Sifuni sifuni sifuni Bwana 

(Ni Bwana wetu)

Sifuni sifuni sifuni Bwana ah 

... 


Sifuni means "praise the Lord" 

in Swahili language

SIFUNI by Official krystaal Music