Nena Nami

By Marggie Dawn

Lyrics

Nena nami, nena nami Bwana 

Sema Bwana na moyo wangu 

Lisikie sauti yako 

Bwana nena, nena nami 


Nimechoshwa na sauti za watu 

Natamani sauti yako 

Inielekeze kwa njia zako 

Bwana nena, nena nami 


Nena nami, nena nami Bwana 

Sema Bwana na moyo wangu 

Lisikie sauti yako 

Bwana nena, nena nami 


Moyo wangu uko wazi Bwana 

Bwana sema nikusikie 

Nifahamu kusudi lako 

Bwana nenam, nena nami 

Ninachokitaka ni kukusikia 

Ukisema na moyo wangu 

Kila siku ya maisha yangu 

Bwana nena nami 


Nena nami, nena nami Bwana 

Sema Bwana na moyo wangu 

Lisikie sauti yako 

Bwana nena, nena nami 


Bwana nena, nena nami

"Marggie Dawn - Nena Nami(Official Video)"