Lyrics

Tunaimba tunaimba tunaimba eeh 

Tunacheza tunacheza tunacheza eeh 

Haleluya aah usifiwe Bwana 

Haleluya wastahili Bwana


Tunaimba tunaimba tunaimba eeh 

Tunacheza tunacheza tunacheza eeh 

Haleluya aah usifiwe Bwana 

Haleluya wastahili Bwana


Shangilia Bwana, shangilia Bwana 

Shangilia Bwana enyi mataifa 

Shangilia Yesu enyi makabila ya dunia 

Jueni kwamba mwenyezi Mungu ni Mungu

Alituumba sisi tu mali yake 

Kondoo wa malisho yake 

Sisi tu watu wake 


Tunaimba tunaimba tunaimba eeh 

Tunacheza tunacheza tunacheza eeh 

Haleluya eeh usifiwe Bwana 

Haleluya ah wastahili Bwana


Mwimbieni dua zake kwa sifa 

Mshukuruni na kilisifu jina lake 

Mwenyezi Mungu ni mwema mwema 

Fadhili zake zadumu milele 


Tunaimba tunaimba tunaimba eeh 

Tunacheza tunacheza tunacheza eeh 

Haleluya aah usifiwe Bwana 

Haleluya wastahili Bwana


Tunazunguka kitini cha enzi 

Tunaimba Hosana Mungu mwenye enzi 

Tunazunguka kitini cha enzi 

Tunaimba Hosana Mungu mwenye enzi 


Tunaimba tunaimba tunaimba eeh 

Tunacheza tunacheza tunacheza eeh 

Haleluya aah usifiwe Bwana 

Haleluya wastahili Bwana


Haleluya aah usifiwe Bwana 

Haleluya wastahili Bwana