Lyrics

Nitaona mazuri

Najua mimi najua

Nitaona mazuri


Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri

Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri


Na sufuria zangu

Lazima zitapika nyama siku moja

Na hii mikono yangu

Lazima iendeshe gari siku moja


Na hii miguu yangu

Lazima ikanyage ng’ambo siku moja

Na majirani zangu

Lazima wataniheshimu siku moja


Kuna vile vitu zitakuwa better one day

Nipate furaha ka smile ka better one day

Wazazi wa bibi wamepanga kaende

Life yangu iko dry rafiki zangu ni mende


Bora imani yangu isimame (Isimame)

Nitaona mema si hasara (Hasara)

Bora imani yangu isimame (Isimame)

Nitaona mema si hasara


Hata kama (Kama) mazuri yote sitayaona hapa

Najua, najua siku moja nitamuona Baba

Hata kama (Kama) mazuri yote sitayaona hapa

Najua, najua siku moja nitamuona Baba


Najua mimi najua

Nitaona mazuri

Najua mimi najua

Nitaona mazuri


Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri

Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri


Maombi yangu anayasikia

Nina imani atanijibia

Walionicheka na kunichukia

Nitashinda watashangilia


Maombi yangu anayasikia

Nina imani atanijibia

Walionicheka na kunichukia

Nitashinda watashangilia


Ooh na jina

Atanibadilisha jina

Eeh Jah na hekima

Anipe bila kupima


Na walionisaliti nikae nao fiti

Hilo ndio ombi langu

Eey ninao marafiki anipe wafiti

Hilo ndio ombi langu


Hey mazuri, mazuri

Nitaonana hey

Hey mazuri, mazuri

Nitaonana hey


Najua mimi najua

Nitaona mazuri

Najua mimi najua

Nitaona mazuri


Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri

Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri


Najua mimi najua

Nitaona mazuri

Najua mimi najua

Nitaona mazuri


Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri

Mazuri, mazuri aaah

Nitaona mazuri


Eh mazuri yeah yeah yeah

Eh mazuri yeah yeah yeah

Mazuri yeah yeah yeah


Nitaona, nitaona ah ah

Nitaona, nitaona ah ah

(Mazuri)

Moji Shortbabaa - Mazuri (Official Video feat. Guardian Angel) [Text SKIZA 7301545 to 811]