Nitayari Lyrics

By Nsajigwa Mordecai

Lyrics

Sitaki chelewa, sitaki kupoteza muda 

Nataka niende sawa na majira yako 

Niende na wakati wako nisitengwe nawe 

Usiyelingana na mwingine Baba 


Pengine Bwana nisahau, 

Yale mambo ulisema nami zamani

Bwana naomba sema nami 

Unikumbushe sema nami nami nitasikia 


Safisha kila kitu ndani yangu 

Fanya upya kila njia yangu 

Uisha kila kitu ndani yangu 

Nisirudishwe na mambo yapitayo


Pambana pambana pambana,napambana 

Kazana kazana kazana,nakazana 

Subiri subiri subiri, nasukubiri

Nisije ikosa furaha yako

Niishi na wewe milele Baba  

Nikae daima uweponi mwako 


Pengine Bwana nisahau, 

Yale mambo ulisema nami zamani

Bwana naomba sema nami 

Unikumbushe sema nami nami nitasikia 


Safisha kila kitu ndani yangu 

Fanya upya kila njia yangu 

Uisha kila kitu ndani yangu 

Nisirudishwe na mambo yapitayo


Yesu nitayari, nitengeneze upendavyo 

Yesu nitayari, nitengeneze upendavyo

(Yesu nitayari, nitayari nitayari)

Now Playing...