Naikuinulia Mikono
Lyrics
Nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako
Bwana nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako
Nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako
Yesu unipendaye kwako nakimbilia
Ni wewe unitoshaye mwovu akinijia
Yafiche ubavuni mwako maisha yangu
Nifikishe mbinguni uinue moyo wangu
Na na na
Nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako
Nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kw
Shangwe Xperience | Nakuinulia Mikono (Official Video)
Song Information
- Artist
- Shangwe Voices
- Released
- May 18, 2018
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 1,576