Yahweh Lyrics

By Size 8

Lyrics

Oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele

Nasema oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele


Kutoka Sao pande za Jericho

Ulinipendea huko huko

Nikitazama sipati picha

Vile umenitendea


Viraka vyangu umefunika

Kikombe changu kinafurika

Na hadi hapa umenifikisha

Ni wewe umenitendea


Oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele

Nasema oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele…


Imani yangu ikivunjika

Amani yako imenifunika

Neema yako imenizunguka

Kweli umenitendea


Pahali pote litasifika

Jina lako lipewe sifa

Milango zote zitafunguka

Ni wewe umenitendea


Oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele

Nasema oh Yahweh umetukuka leo

Oh Yahweh kesho na milele


Baba pokea sifa, sifa

Sifa iye iye iye iye

Sifa, siiifa adonai


Bwana umenipa favour

Favour, favour

Nimeona favour

Favour iye iye iye iye

Favour favour adonai


Na wewe unatesa

Tesa, tesa, Yesu unatesa

Tesa iye iye iye iye

Tesa, tesa adonai


Baraka zako zanyesha

Nyesha, nyesha, zanyesha

Nyesha, iye iye iye iye

Nyesha adonai

Now Playing...