Nakutuma Wimbo

By Zabron Singers

Lyrics

I wish to share my testimony 

Kupitia wimbo nimtetee Mungu 

Matiafa wapate sikia 

Mazuri ya Mungu vile ni mwema kwetu 

Sisi bure bila Mungu 

Tulivyo navyo ni vya Mungu

Kufanikiwa ni Mungu tu ntabaki na Mungu 

Nadhani wamwelewa Mungu si Mungu wa kushindwa 

Kwa wengi amefanya tendo na sasa wanasifu 


Asante kwa baraka za upendo wako 

Najifunza wabariki wapate na wengine 

Asante kwa baraka ya maisha yangu 

Najifunza wanipenda nishare na wengine


Nakutuma wimbo uende kwa yule 

Ukambariki tena aah 

Makuu ya Mungu vile huinua 

Vile hubariki tena 

Nyumbani kazini uende na Mungu 

Usishindwe kitu tena 

(hee.. hee hee)


Wimbo sema na yule, wewe rafiki wa wote 

Huna ubaguzi enda wimbo 

Kwenye gari waambie, ofisini kazini  

Nyumbani popote upo nenda wimbo 

Neno la Mungu kwetu 


Wengine wakisikia wimbo wanapona 

Waambie mazuri ya Mungu wimbo 

(hee hee heee) 

Nakutuma wimbo uende kwa yule 

Ukambariki tena aah 

Makuu ya Mungu vile huinua 

Vile hubariki tena 

Nyumbani kazini uende na Mungu 

Usishindwe kitu tena 

Likitamka juu ya kitu 

Halitarudi bila kitu lazima litimie 

Umeomba kitu kwa Mungu, huyu ndiye Mungu wa vitu

Kupata na kukosa vitu uamuzi bado yeye 


Asante kwa baraka za upendo wako 

Najifunza wabariki wapate na wengine 

Asante kwa baraka ya maisha yangu 

Najifunza wanipenda nishare na wengine


Nakutuma wimbo uende kwa yule 

Ukambariki tena aah 

Makuu ya Mungu vile huinua 

Vile hubariki tena 

Nyumbani kazini uende na Mungu 

Usishindwe kitu tena 

(hee.. hee hee)

NAKUTUMA WIMBO by ZABRON SINGERS (SMS SIKIZA 5355023 TO 811)