Chorus / Description :
Mungu amenipa kutembea hatua mbele
Kama Mugambo hatua mbele
Mungu amenipa kutembea hatua mbele
Kama Mugambo hatua mbele
Yesu amenipa kutembea hatua mbele
Kama Mugambo hatua mbele
Sadaka gani mimi nitoe
Ona favor amenipa favor
Cheko gani mimi nicheke
Ona happy moyo uko happy
Ameweka ujasiri kwake afande
Oh siogopi vita twende
Ameweka ujasiri acha nitambe
Oh siogopi weka twende
...
Hatua mbele
Goodluck featuring Bony Mwaitege in Swahili Praise "Mugambo" equivalent of Commando. God has given me power to press forward like Commando.