Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya Lyrics

By Anthony Musembi

Lyrics

Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako

Nisikilize Yahweh

Daudi akasema:

Roho mtakatifu
(hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(ni nani kama wewe)

Roho wake Baba

hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe

English:
Create in me a clean heart,
create in me a new heart,
a heart that is broken before you

Pastor Anthony Musembi Niumbie Moyo Safi Na Roho Mtakatifu

Now Playing...