Lyrics Page

Akutendee Nini

By Christina Shusho

2,300 views Jun 6, 2026 updated
Wataka akutendee nini?
Akutendee nini wewe,
Wataka akutende nini?
Akutende nini wewe,

"Neno moja nalitaka kwa Bwana nalo ni hili
nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu"
Gala lake limejaa hakuna anayepunguza hata robo
Akutende nini wewe?
Wengine wataka kuwa raisi wa nchi
Wengine wataka ubunge
Akutendee nini wewe?
Mwengine ombi lake apate shamba
Huyu mume na huyu mke
Wataka akutendee nini wewe?
Mama huyu ombi lake apte mtoto
Mwengine apate elimu
Wataka akutende nini wewe?

Wataka akutendee nini?
Akutendee nini wewe,
Wataka akutende nini?
Akutende nini wewe,

Nakumbuka mgonjwa birikani
miaka thelathini na nane alikuwa hajiwezi yeye
Yesu akatetembelea birika lile
Akamwona mgonjwa yule
Mara akaanza sababu zake
"Malaika akifika akitubua maji
mimi huwa wa mwisho"
Yesu akasema neno moja
jitwike godoro lako na uende
Mara akawa mzima mzima

Wataka akutendee nini?
Akutendee nini wewe,
Wataka akutende nini?
Akutende nini wewe,

Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.