Lyrics Page

Muujiza

By Christina Shusho

1,810 views Jul 2, 2026 updated Verified editorial review

Christina Shusho's song 'Muujiza' is a Swahili gospel track celebrating the miracle of life and God's faithfulness. The lyrics express gratitude for waking up each day, recognizing that simply being alive is a miracle. The song contrasts those who have not woken up or completed their journeys, emphasizing the singer's thankfulness for the gift of life and the opportunity to proclaim God's word. It is a joyful declaration of God's goodness and personal testimony of His miraculous work.

Lyrics Verified by Editorial Team

Nikilala niamke, mkiona natembea 

Mwenzenu kwangu ni muujiza 

Asubuhi kuna kunakucha 

Jioni ikiingia maisha Yangu 

Mimi ni muujiza tu 


Siku ikipita mwezi na mwaka unakwisha 

Mimi kwangu ni muujiza tu 

Eeeeh Yesu ee Yesu Bwana wangu wee 

Kwangu ni muujiza eeh 


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Kuna waliolala hawakuamka, 

Eh Bwana, naona ni muujiza 

Walionza safari, hawakufika 

Mimi leo najiona ni muujiza 

Kuwa hai, kutangaza neno lako 

Bwana Kwangu mimi ni muujiza 

Sina sababu ya kunyamaza  

Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza 


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Hoyaa hoyaa, Oh Yesu 

Ah Yesu wangu oooh  


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Music Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.