Wewe ni Mungu

By Essence of Worship

Lyrics

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu 

Jina lako ni Bwana 

(Wewe ni Bwana wa Mabwana)

Unadumu na kutawala 

Unastahili Unastahili 

Bwana Bwana 


Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu 

Bwana Bwana 

Unastahili Unastahili 

Bwana Bwana 


Uweza ni wako 

Mamalaka ni yako 

Bwana Bwana 


Uweza ni wako 

Mamalaka ni yako 

Bwana Bwana 


Unatawala milele 

Bwana Bwana 

Umejivika heshima 

Bwana Bwana 


Unatawala milele 

Bwana Bwana 

Umejivika heshima 

Bwana Bwana 

"Essence of Worship ft Eliya Mwantondo --Wewe Ni Mungu (Official Video)skiza codes (7636498)"