Anaona

By Kambua

Lyrics

(Ayo Alex)

Yes siz, yes siz

Yale unapitia

Anaskia, anaskia

Kabla hujamwambia


Issue gani hiyo? Issue gani?

Issue gani hiyo?

Ooh oh oh kwake kubwa hiyo

Kwake kubwa hiyo oh oh oh oh


Ye si kipofu

Anakutakia mema si maovu

Ye si kipofu

Anakutakia mema si maovu


Anaona-na, Anaona-na

Yanayokutoka machozi anaona

Anaona-na, Anaona-na

Yeye ni wako mwokozi, anaona


Ninapolia asikia

Nikianguka ainua

He lifts me up

(Lift me up) Hey


Machozi yangu ayafuta

Nikilemewa anishika

Yes He see’s anaona

Yes He see’s anaona

Yes He see’s anaona


Ye si kipofu

Anakutakia mema si maovu

Ye si kipofu

Anakutakia mema si maovu


Anaona-na, Anaona-na

Yanayokutoka machozi anaona

Anaona-na, Anaona-na

Yeye ni wako mwokozi, anaona