Muite Yesu

By Mercy Masika

Lyrics

Hello hello habari yako 

Niko poa sana mimi na bado niko 

Tunajibu ni poa tukisalimiwa 

Na ndani wengi wetu tunaumia 

Picha mtandaoni maisha bandia 

Kwake Mungu hakuna kimejificha  


Uko salama kwake pekee yake 

Mikononi mwake, usinyamaze muite 

Uko salama kwake pekee yake 

Mikononi mwake, usinyamaze muite 


Muite Baba leo (muite) 

Muite Baba leo (muite) 

Muite, usinyamaze muite 

Muite muite muite 

usinyamaze muite 


Simama shika we, shika neno 

Itana oh-oh-h, Yesu atasikia 

Mpe yote shida zako 

Asikia aibu yote, yeye atatatua 


Uko salama kwake pekee yake 

Mikononi mwake, usinyamaze muite 

Uko salama kwake pekee yake 

Mikononi mwake, usinyamaze muite 


Muite (achana na stress) 

Muite (usijinyonge wewe) 

Muite, usinyamaze muite 

Muite muite muite 

usinyamaze muite 


Uko salama kwake pekee yake 

Mikononi mwake, usinyamaze muite 

Muite (itana wee) 

Muite (ita Yesu wee) 

usinyamaze muite 

Atatatua leo (muite) 

Depression shindwa (muite) 

Cancer ondoka (muite) 

Usinyamaze muite