Nivute

By Mercy Masika

Lyrics

Nimeishi kwa nyumba yako, oh miaka mingi 

Lakini sasa nataka kwako kusogea zaidi 

Upendayo nami nipende, sauti nifahamu zaidi 

Nione kama uonavyo wewe

Nivute iyee Baba karibu na wewe 

Naulenge moyo wako Baba kama Daudi

Njia zangu maisha yangu yalingane na neno lako 

Njia zangu maisha yangu yapendeze we ah oh

Nimeamua maisha yangu kwa utukufu wako 

Yesu ukiwa nami Oh wanibadilisha 

kama samaki ahitaji maji ndivyo nakuhitaji 

wewe ndiwe neno langu we iwee 

Nivute iyee Baba karibu na wewe 

Naulenge moyo wako Baba kama Daudi

Njia zangu maisha yangu yalingane na neno lako 

Njia zangu maisha yangu yapendeze we ah oh

Macho yangu yako kwako Baba nakulenga 