Mungu Halisi

By Paul Clement

Lyrics

Ajabu imo ndani yako 

Matendo yako siyo bahati 

Ni kamili si hadithi 

Ukitenda umetenda Bwana 

(rudia *2) 

Matendo yako yanatisha kama nini? 

Matendo yako yanatetemesha ajabu? 


(rudia toka juu) 

Bwana wewe si hadithi (uuuuu)

Wewe si simulizi (uuuuuu) 

Bwana Wewe ni kweli u hai (uuuuu) 

U milele wangu (uuuu) 

... 

Wewe si story za kale 

Za mababu wa zamani  

Bwana wewe ni kweli 

Uhai u milele Mungu wangu 


Bwana wewe ndiwe Mungu wangu 

Huhitaji matangazo wakujue 

Matendo yako yanajieleza 

Kuwa wewe ni kweli 


Ni kweli wewe nguvu zako 

Matendo yako ni kweli 

Neema yako (ni kweli) 

Nguvu zako Bwana (ni kweli) 

Bwana nguvu zako (ni kweli) 

Ufalme wako (ni kweli) 


Paul Clement - Mungu Halisi (Official Music Video)