Tunavua Taji

Performed by Rev Kathy Kiuna

Lyrics Verified by Editorial Team

Tunazunguka kiti chenye enzi 
Tukiliinua Jina lako
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Tukisema wewe ndiwe Baba
Tukisema wewe ndiwe Masia
Tukisema Roho Mtakatifu
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Pokea sifa Baba wa mbinguni
Jina lako litukuzwe
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Masia  Masia 
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2


Official Video