Futa Machozi
Solomon Mukubwa's song 'Futa Machozi' is a Swahili Christian worship song that encourages believers to wipe away their tears and stand as victors. The lyrics draw from Psalm 40, describing how God lifted the singer from a pit and set their feet on a rock. The song emphasizes that Christians are more than conquerors, having authority over the enemy. It calls listeners to rise like a warrior, attack the gates, and embrace their identity as overcomers in Christ. The message is one of empowerment, faith, and victory, urging believers to stop mourning and start declaring God's goodness.
Akaniinamia akanisikia kilio changu
Akanipandisha toka shimo, shimo la uharibifu
Akanisimamisha Bwana, toka udongo wa utelezi,
Akasimamisha miguu yako mwambani, Bwana wangu wee
Akazisimamisha hatua zangu, akazipanga sawa sawa
Ili nimtumikie ee eh, ndio sifa zake zimekaa midomoni mwangu
Ameweka wimbo mpya midomoni mwangu
Ndio maana ninaamba sifa zako Mungu wangu
Ndio maana kila siku nashuhudia wema wake Bwana
Futa futa machozi usilie tena, kibali kiko juu yako
Simama kama shujaa, ushambulie malango*
Sayuni imekukubali
Hatutaki kulia lia sana, hatutaki ukristo wa kulilia sana.
Sisi ni washindi, hata tupipitie moto haitatuchoma
Hata tukitupwa baharini, samaki haitatumaliza
Hata tupitie maji, haitatukarigisha, maaana sisi ni washindi. Mkristo simama kama shujaa, ushambilie malango
Umepewa mamlaka na kibali, mbona umeonelewa na adui
kiasi hii, ebu simama kama shujaa, mpingeni adui naye atawakimbia, sisi ni washindi zaidi ya washindi.
Futa futa machozi usilie tena, kibali kiko juu yako
Simama kama shujaa, ushambulie malango*
Sayuni imekukubali
" Lazima tujiamini lazima kujitwaa, tumepewa mamlaka
ya kukanyaga nyoka na yule ibilisi, na kila ufalme wa
ulimwengu wa giza, hazina mamlaka juu Yeu"
Futa futa machozi usilie tena, kibali kiko juu yako
Simama kama shujaa, ushambulie malango*
Sayuni imekukubali