Lyrics Page

Tenda Miujiza - Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza

By Abiudi Misholi

5,081 views Sep 11, 2026 updated

"Ni Kweli Ndugu yangu mambo mengi yamekukumba kwa miaka Nyingi
Leo Mwambie Mungu Mwaka Huu usipite Bila Kutenda Muujiza "

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Mwaka huu usipite Bila kutenda Muujiza
Tenda Baba Tenda Miujiza

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite
Bila kutenda Muujiza
Tenda Baba Tenda Miujiza

Ni kweli Ndugu yangu umeteseka
Umeonewa vya kutosha
Leo mwambie Yesu
Mwaka Huu usipite Bila kutenda muujiza

Kazini mwako umenyanyaswa na wala hauna mtetezi
Walio wageni wanapandishwa cheo na wewe unaachwa unastahili
Sema sasa Kwa Yesu

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite

Umeokoka Kabisa hizo tamaa zinakurudisha nyuma
Leo mwambie Yesu parapanda isilie bila kukupa Muujiza

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite
...

Music Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.