Tenda - Call Me Favour Live Medley

By Deborah Lukalu

Lyrics

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba 

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba 

Hakuna mwingine kimbilio langu 

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba 

Hakuna mwingine Baba wa wajane 

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba  

Mungu ni Shefu, wa mataifa yote 

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba 

Mungu ni shefu (shefu) 

Shefu (wa mataifa yote)

Alitenda mambo makubwa 

Wanadamu hawakuelewa (tenda tenda tenda)

Tenda eh Baba tenda 

Tenda eh Baba tenda 

(Mungu wa uzima) 

Tenda eh Baba tenda 

(Baba wa wajane) 

Tenda eh Baba tenda  

(Iyo yo yo yo oh) 

Tenda tendaa 

Ni wa uwezo ni wa ushindi 

Ni muweza yote kweli ni muumba wetu  

Watoto tunasala (tumepata kwa neema) 

Masomo tunaweza (tumepata kwa neema) 

Diploma uko nayo (ulipata kwa neema) 

Kuimba unaimba (ulipata kwa neema) 

Huyu Mungu wetu (anasema anajibu) 

Ni muweza yote 

Hallelujah ni Muumba wetu 

Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu 

Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu 

"DEBORAH LUKALU - TENDA\/CALL ME FAVOUR LIVE |OFFICIAL VIDEO|"