Simba Wa Yuda
By Joyce Omondi
Lyrics
Verse 1:
Simba wa Yudah usiyeshindwa
Twainama mbele zako tukisema
Wewe ni mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe
Chorus:
Nitasimulia ukuu wako
Nitatangaza upendo wako
Nitaimba imba wimbo mpya
Kwani hakuna kama wewe
Simba wa Yuda
Verse 2:
Matendo Yako ni ya ajabu
Mbingu na nchi pia zakusifu
Ufalme wako wadumu milele
Hakuna kama wewe
Nitasimulia ukuu wako
Nitatangaza upendo wako
Nitaimba imba wimbo mpya
Kwani hakuna kama wewe
Simba wa Yuda
Vamp out:
Wastahili sifa, twakuabudu eh Bwana
Wastahili sifa, pokea heshima
Joyce Omondi - SIMBA WA YUDA | Live at ReJoyce 2019 (SMS SKIZA 7388601 to 811)
Song Information
- Artist
- Joyce Omondi
- Released
- September 20, 2019
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 2,768