Bwana Nimekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yangu ooh
Wewe watosha . .
Bwana
Tumekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yetu ooh
Wewe watosha
Tunainua Mikono yetu
tukisema eeh Bwana
Katuokoa kutoka mautini
Tunasema We Bwana
Tunakiri uwezo Wako ooh
Wewe watosha
Tunainua Mikono yetu
tukisema eeh Bwana
Katuokoa kutoka mautini
Tunasema We Bwana
Tunakiri uwezo Wako ooh
Wewe watosha
Lyrics Page
Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu
7,418 views
Sep 11, 2026 updated