Mguso Lyrics

By Neema Gospel Choir

Lyrics

ENGLISH LYRICS:

We want to see you

Every day of our lives, Jesus


We need a renewed touch

Every day of our lives, JesusOpen our hearts


We need to hear from you

Let your spirit fill us with your anointing oil 

So we speak your truth 


You are the light that illuminates our lives, 

Our bread of life 

Jesus 


Jesus


SWAHILI LYRICS:

Tunataka kukuona

Kila siku za maisha yetu, Yesu


Tunataka mguso mpya

Kila siku za maisha yetu, Yesu


Fungua mioyo yetu

Twahitaji kusikia kwako

Tupake mafuta ya Roho wako

Tuinene kweli yako


Wewe ni taa imulikayo maisha yetu,

Chakula chetu cha uzima, 

Yesu


Yesu

Music Video

Now Playing...