Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya
Neema Mwaipopo's 'Sipati Picha' is a Swahili Christian song expressing a deep longing for the new heaven and new earth prepared by Jesus. The lyrics convey anticipation of Christ's return, being taken up to meet Him, and the joy of dwelling with the Father. The singer marvels at the indescribable glory of that day, where earthly troubles will be no more. The song reflects a hopeful expectation of eternal rest and celebration with angels, emphasizing that the beauty of heaven is beyond human imagination.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2
Nitakapomwona mwana wa adamu, akija mawinguni kunichukua.
Na malaika wakishangilia eeh, sipati picha nitakavyo kuwa. x2
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2
Nitakapofika kwa Baba yangu, nitaketi naye nikimtazama.
nderemo vinubi, na tarumbeta, sipati picha siku hiyo. x2
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2
Atakaposema karibu mwanangu, taabu za dunia hautaziona.
nikiyalaani milele yote, kwa raha zangu mimi sipati picha.
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2