Lyrics Page
Kila Siku Na Kila Saa
4,057 views
Jun 16, 2026 updated
Verified editorial review
Paul Mwangosi's song 'Kila Siku Kila Saa' is a Swahili worship song that declares God's faithfulness every day and every moment. The repetitive lyrics emphasize that God is faithful in the morning, afternoon, and evening, and that He protects and cares for His people at all times. The song is a simple yet powerful expression of trust in God's unwavering faithfulness throughout each day.
Lyrics Verified by Editorial Team
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
Asubuhi mchana na jioni
Kila wakati na kila saa
U mwaminifu Bwana
Unanilinda kila njia Bwana
Unanitunza kila wakati Bwana
U mwaminifu Bwana
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
U mwaminifu Bwana
Wewe ni Mwaminifu
Kila siku na Kila saa u Mwaminifu Bwana
Kila siku na Kila saa Jehovah
Kila siku Kila saa u Mwaminifu Yesu
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana
Kila siku Kila saa Mwaminifu Bwana