Umeniosha

By Paul Mwangosi

Lyrics

Umeniosha Bwana 

kwa damu yako 

Umeniosha Bwana 

Kwa damu yako 

Umeniosha Bwana 

Kwa damu yako 


Nasikia kuitwa 

Na sauti yako 

Nikasafiwe kwa damu 

Ya kuangikwa kwako 


Nimesogea mtini pako 

Unisafi kwa damu 

Ya kuangikwa kwako

Umeniosha