Ni Wewe Yesu

By Paul Mwangosi

Lyrics

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Utukufu na heshima 

Vina wewe Yesu 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 


Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Utukufu na heshima 

Vina wewe Yesu 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 


"Ufalme wako ni ufalme usiotikisika 

Hauna mwisho Bwana wala hauna mwanzo 

Utukufu na nguvu na enzi ni vyako Yesu"


Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Utukufu na heshima 

Vina wewe Yesu 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 


Ni wewe Yesu wa kuinuliwa

Ni wewe Yesu wa kuinuliwa

Utukufu na heshima 

Vina wewe Yesu 

Ni wewe Yesu wa kuinuliwa 


Ni Wewe Yesu