Enda Nami by Lavender Obuya

Updated 3 months ago

Lyrics Verified by Editorial Team

Enda nami usiniache njiani 

giza ni kuu, 

Ili nifike salama 


Enda nami usiniache njiani 

giza ni kuu, 

Ili nifike salama


Nanyenyekea miguuni pako Messiah 

Nishikilie usiniache Mwokozi 


Enda nami usiniache njiani 

giza ni kuu, 

Ili nifike salama 


Haleluya tutaimba 

Na wote walioshinda vita 

Haleluya tutaimba 

Na wote walioshinda vita 

Haleluya tutaimba 

Na wote walioshinda vita 

Haleluya tutaimba 

Na wote walioshinda vita 

Official Video