Atawale

By Guardian Angel

Lyrics

Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale 

Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale 


Shetani amekufanyia mikuki na mapanga 

Nia yake akushushe ukipanda 

Amekuwekea mizogo ya laana 

(rudia)


Mwachie (wacha) apigane vita vyako 

Mwachie (wacha) atatue shida zako 

Mwachie Yesu aongoze njia zako 


Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale 

Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale 


Unapodhulumiwa mwachie Bwana akutetee

Unapodharauliwa mwachie Bwana akutetee

Unapohukumiwa mwachie Bwana akutetee

Akutetee mwachie Yesu atawale


Mwachie (wacha) apigane vita vyako 

Mwachie (wacha) atatue shida zako 

Mwachie Yesu aongoze njia zako 


Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale 

Atawale atawale tu 

Mwachie Yesu atawale