Baba Inuka

By Evelyn Wanjiru

Lyrics

Baba Inuka, Tawala, 

Simba wa yudah, 

Tawala, mfalme wa sayuni, tawala


Hausinzii wala haulali, ewe mlinzi wangu

Umenizunguka pande zote, ewe Mungu Wangu

Umenihifadhi, Katika uwepo wako


Nakutazama Jehovah, Msaada wangu watoka kwako

Tumaini langu, liko kwako, Kwa imani sitingiziki

Umetawala maishani mwangu, oooh baba


Simba wa yudah, tawala, mfalme wa zayuni, tawala