Unaitwa Jehovah
Sarah K's song 'Unaitwa Jehovah' is a Swahili praise song that exalts God as Jehovah, the God of wonders and miracles. The lyrics repeatedly affirm that God is called Jehovah because He speaks and acts, fulfilling His promises. The song celebrates God's mighty deeds, including miracles and wonders that are beyond human explanation. It declares that God does not delay or fail, and His hand is not too short to act. The overall message is one of thanksgiving and faith in God's faithfulness and power to perform what He has promised.
"Jehovah Mungu wa matendo
Jina lako ni Jehovah"
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah
Umefanya maajabu hatuwezi kueleza
Umetenda ya kushangaza ulimwengu
Umetenda miijuza kati yetu
Ndio maana unaitwa Jehovah
Jehovah aah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah *2
Jehovah hucheliwi wala hukawii
Mkono wako sio mfupi wa kutokutenda
Maana ulivyoahidi kweli umetenda aah
Ndio maana unatwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah *2
(Wote wanakuita), ndio maana unaitwa Jehovah
(Sisi tunakuita) Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
(Tenda maajabu) Ulisema utatenda(tenda miujiza) na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah