Ezekieli Mlango 30 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia tena, kusema,
Mwanadamu, tabiri, useme, Bwana MUNGU asema hivi; Pigeni makelele ya uchungu, Ole
Kwa maana siku ile i karibu, siku ile ya Bwana i karibu, siku ya mawingu; itakuwa
Na upanga utakuja juu ya Misri, na dhiki itakuwa katika Kushi, watakapoanguka
Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi
Bwana asema hivi; Nao pia wanaoitegemeza Misri wataanguka, na kiburi cha uwezo
Nao watakuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji yake itakuwamo kati ya
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, nitakapoweka moto katika Misri, na hao wote
Katika siku hiyo watatoka wajumbe mbele zangu katika merikebu, ili kuwatia hofu
Bwana MUNGU asema hivi; Pia nitaukomesha wingi wa watu wa Misri, kwa mkono wa
Yeye, na watu wake pamoja naye, watu wa mataifa watishao, wataletwa waingie
Nami nitaikausha mito, na kuiuza nchi, na kuitia katika mikono ya watu wabaya;
Bwana MUNGU asema hivi; Pia nitaviharibu vinyago, nami nitavikomesha vitu vya
Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami
Nami nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Sini, ngome ya Misri, nami nitakatilia
Nami nitatia moto katika Misri; Sini itakuwa katika dhiki kuu, na No itavunjika
Vijana wa Oni, na wa Pi-besethi, wataanguka kwa upanga; na miji hiyo itakwenda
Huko Tapanesi nako mchana utakuwa giza, nitakapovunja huko kongwa za Misri, na
Hivyo ndivyo nitakavyotekeleza hukumu katika Misri; nao watajua ya kuwa mimi
Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa kwanza, siku ya saba ya mwezi,
Mwanadamu, nimeuvunja mkono wa Farao, mfalme wa Misri, na tazama, haukufungwa
Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu ya Farao, mfalme wa Misri, nami
Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi
Nami nitaitia nguvu mikono ya mfalme wa Babeli, na kuutia upanga wangu katika
Nami nitaitegemeza mikono ya mfalme wa Babeli, na mikono ya Farao itaanguka; nao
Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi