Ezekieli Mlango 38 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, kaza uso wako, umwelekee Gogu, wa nchi ya Magogu, mkuu wa Roshi,
useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Gogu, mkuu wa Roshi,
nami nitakugeuza na kutia kulabu katika mataya yako, nami nitakutoa, pamoja na
Uajemi, na Kushi, na Putu, pamoja nao; wote wana ngao na chapeo;
Gomeri, na vikosi vyake vyote; nyumba ya Togarma, pande za mwisho za kaskazini,
Ujiweke tayari, naam, jiweke tayari, wewe na majeshi yako yote waliokukusanyikia,
Na baada ya siku nyingi utajiliwa; katika miaka ya mwisho, utaingia nchi
Nawe utapaa juu, utakuja kama tufani, utakuwa kama wingu kuifunika nchi, wewe, na
Bwana MUNGU asema hivi; Itakuwa katika siku hiyo, mawazo yataingia moyoni mwako,
nawe utasema, Nitapanda juu niiendee nchi yenye vijiji visivyo na maboma;
ili kuteka mateka, na kuwinda mawindo; uugeuze mkono wako juu ya mahali
Sheba, na Dedani, na wafanya biashara wa Tarshishi, pamoja na wana-simba wake
Basi, mwanadamu, tabiri, umwambie Gogu, Bwana MUNGU asema hivi; Katika siku ile
Nawe utakuja kutoka mahali pako, kutoka pande za mwisho za kaskazini, wewe, na
nawe utapanda juu uwajilie watu wangu, Israeli, kama wingu kuifunika nchi;
Bwana MUNGU asema hivi; Je! Wewe ndiwe niliyemnena zamani za kale, kwa vinywa
Itakuwa katika siku hiyo, Gogu atakapokuja kupigana na nchi ya Israeli, asema
Kwa maana katika wivu wangu, na katika moto wa ghadhabu yangu, nimenena, Hakika
hata samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama wa kondeni, na vitu
Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU;
Nami nitamhukumu kwa tauni, na kwa damu; nami nitanyesha mvua ifurikayo, na mvua
Nami nitajitukuza, na kujitakasa, na kujidhihirisha, mbele ya macho ya mataifa