Ezekieli Mlango 34 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, toa unabii juu ya wachungaji wa Israeli, toa unabii, uwaambie, naam,
Mnawala walionona, mnajivika manyoya, mnawachinja walionona; lakini hamwalishi
Wagonjwa hamkuwatia nguvu, wala hamkuwaponya wenye maradhi, wala hamkuwafunga
Nao wakatawanyika, kwa sababu hapakuwa na mchungaji; wakawa chakula cha wanyama-
Kondoo zangu walitanga-tanga katika milima yote, na juu ya kila kilima kirefu;
Basi, enyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana;
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, kwa sababu kondoo zangu walikuwa mateka,
kwa sababu hiyo, enyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana;
Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu ya wachungaji; nami nitawataka
Maana, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta
Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo
Nami nitawatoa katika watu wa mataifa, na kuwakusanya katika nchi zote, nami
Nami nitawalisha malisho mema, pa juu ya milima ya mahali palipoinuka pa Israeli
Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo zangu, nami nitawalaza, asema Bwana MUNGU.
Nami nitawatafuta waliopotea, nitawarudisha waliofukuzwa, nitawafunga
Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu
Je! Mwaona ya kuwa ni neno dogo ninyi kulishwa malisho mema, hata mkawa hamna
Na kwa habari za kondoo zangu, wao wanakula hayo mliyoyakanyaga kwa miguu yenu,
Kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU awaambia hivi; Tazama, mimi, naam, mimi, nitahukumu
Kwa kuwa mmesukuma kwa ubavu, na kwa mabega, na kuwapiga wenye maradhi kwa pembe
basi mimi nitaliokoa kundi langu, wala hawatakuwa mateka tena; nami nitahukumu
Nami nitaweka mchungaji mmoja juu yao, naye atawalisha, naam, mtumishi wangu,
Na mimi, Bwana, nitakuwa Mungu wao, na mtumishi wangu, Daudi, atakuwa mkuu kati
Nami nitafanya agano la amani nao, nami nitawakomesha wanyama wakali kati yao;
Nami nitawafanya wao, na mahali palipo pande zote za mlima wangu, kuwa baraka,
Na mti wa kondeni utazaa matunda yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, nao
Hawatakuwa mateka ya makafiri tena, wala mnyama wa nchi hatawala; bali watakaa
Nami nitawainulia miche iwe sifa njema, wala hawataangamizwa kwa njaa katika
Nao watajua ya kuwa mimi, Bwana, Mungu wao, ni pamoja nao, na ya kuwa wao,
Na ninyi, kondoo zangu, kondoo za malisho yangu, ni wanadamu, na mimi ni Mungu