Ezekieli Mlango 27 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia tena, kusema,
Na wewe, mwanadamu, mfanyie Tiro maombolezo;
umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa
Mipaka yako i kati ya moyo wa bahari; wajenzi wako wameukamilisha uzuri wako.
Mbao zako zote wamezifanya kwa misunobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya
kwa mialoni ya Bashani wamefanya makasia yako; na sitaha zako wamezifanya kwa
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe
Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili, Ee
Wazee wa Gebali na wenye akili wake walikuwa ndani yako, wenye kutia kalafati;
Watu wa Uajemi na Ludi na Putu walikuwa katika jeshi lako, watu wako wa vita;
Watu wa Arvadi, pamoja na jeshi lako, walikuwa juu ya kuta zako pande zote, na
Tarshishi alikuwa mfanya biashara kwako, kwa sababu ya wingi wa utajiri wa kila
Uyunani na Tubali na Mesheki ndio waliokuwa wachuuzi wako; walitoa wanadamu, na
Watu wa nyumba ya Togarma walifanya biashara, kwa farasi, naam, farasi za vita,
Wadedani walikuwa wachuuzi wako, visiwa vingi vilikuwa soko la mkono wako;
Shamu alikuwa mfanya biashara kwako, kwa sababu ya wingi wa kazi za mkono wako
Yuda, na nchi ya Israeli, walikuwa wachuuzi wako; walitoa badala ya bidhaa yako
Dameski alikuwa mfanya biashara kwako, kwa habari ya wingi wa kazi za mkono
Wedani, na Yavani, walifanya biashara toka Uzali kwa vitu vyako; chuma
Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi.
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako;
Wachuuzi wa Sheba, na Raama, ndio waliokuwa wachuuzi wako; badala ya vitu vyako
Harani, na Kane, na Adini, wachuuzi wa Sheba, na Ashuru, na Kilmadi, walikuwa
Hao ndio waliokuwa wachuuzi wako, kwa vitu vya tunu, kwa vitumba vya nguo za
Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa
Wavuta makasia wako walikuleta katika maji makuu; upepo wa mashariki umekuvunja
Mali zako, na bidhaa yako, na utajiri wako, wana-maji wako, na rubani zako, na
Kwa sauti ya vilio vya rubani zako viunga vyako vitatetema.
Na wote wavutao kasia, wana-maji, na rubani zote wa baharini, watashuka katika
nao watasikizisha watu sauti zao juu yako, nao watalia kwa uchungu, na kutupa
nao watajifanya kuwa na upaa kwa ajili yako, na kujifunga nguo za magunia
Na katika kulia kwao watakufanyia maombolezo, na kukuombolezea, wakisema, Ni
Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi;
Wakati ulipovunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na jeshi lako
Wote wakaao katika visiwa vile watakustaajabia, na wafalme wao wameogopa sana,
Wafanya biashara kati ya kabila za watu wakuzomea; umekuwa kitu cha kutisha,