Ezekieli Mlango 39 Ezekiel
Na wewe, mwanadamu, tabiri juu ya Gogu, useme, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama,
nami nitakugeuza na kukuongoza, nami nitakupandisha toka pande za mwisho za
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako
Utaanguka juu ya milima ya Israeli, wewe, na vikosi vyako vyote, na watu wa
Utaanguka katika uwanda; kwa maana mimi nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU.
Nami nitapeleka moto juu ya Magogu; na juu ya watu wote wakaao salama katika
Na jina langu takatifu nitalifanya kuwa limejulika kati ya watu wangu Israeli;
Tazama, linakuja, nalo litatendeka, asema Bwana MUNGU; hii ndiyo siku ile
Hao wakaao katika miji ya Israeli watatoka, nao watafanya mioto kwa silaha za
hata hawataokota kuni mashambani, wala hawatakata kuni msituni; maana watafanya
Tena, itakuwa katika siku hiyo, nitampa Gogu pa kuzikia katika Israeli, bonde la
Na kwa muda wa miezi saba nyumba ya Israeli watakuwa wakiwazika, wapate
Naam, watu wote wa nchi hiyo watawazika; itakuwa ni sifa kwao katika siku ile
Nao watawachagua watu wa kufanya kazi ya daima, watakaopita kati ya nchi, ili
Na hao wapitao kati ya nchi watatafuta; na mtu ye yote aonapo mfupa wa mtu,
Tena, Hamona litakuwa jina la mji. Hivyo ndivyo watakavyosafisha nchi.
Na wewe, mwanadamu, Bwana MUNGU asema hivi; Sema na ndege wa kila namna, na kila
Mtakula nyama yao walio hodari, na kunywa damu ya wakuu wa dunia, ya kondoo
Nanyi mtakula mafuta na kushiba, mtakunywa damu na kulewa, na sadaka yangu
Nanyi mtashibishwa mezani pangu kwa farasi, na magari ya vita, na mashujaa, na
Nami nitauweka utukufu wangu kati ya mataifa, na mataifa wote wataiona hukumu
Basi, nyumba ya Israeli watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao, tangu siku
Nao mataifa watajua ya kuwa nyumba ya Israeli walihamishwa, na kwenda kifungoni,
Kwa kadiri ya uchafu wao, kwa kadiri ya makosa yao, ndivyo nilivyowatenda, nami
Kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU asema hivi, Sasa nitawarejeza watu wa Yakobo
Nao watachukua aibu yao, na makosa yao yote waliyoniasi, watakapokaa salama
nitakapokuwa nimewaleta tena kutoka kabila za watu, na kuwakusanya kwa kuwatoa
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao, kwa kuwa naliwahamisha, waende
wala sitawaficha uso wangu tena; kwa maana nimemwaga roho yangu juu ya nyumba ya