Ezekieli Mlango 48 Ezekiel
Basi, haya ndiyo majina ya kabila hizo; toka mwisho wa pande za kaskazini, karibu
Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Asheri, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Naftali, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Manase, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Efraimu, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Reubeni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Yuda,
Na mpakani mwa Yuda, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi,
Matoleo hayo, mtakayomtolea Bwana, urefu wake ni mianzi ishirini na tano elfu, na
Matoleo hayo matakatifu yatakuwa kwa watu hawa, kwa makuhani; upande wa
Patakuwa kwa makuhani wa wana wa Sadoki, waliotakasika, walioulinda ulinzi
Na matoleo hayo ya nchi yatolewayo, yatakuwa kwao kitu kitakatifu sana, karibu
Na kuukabili mpaka wa makuhani, Walawi watakuwa na fungu, urefu wake ishirini na
Wala hawatauza sehemu yake, wala kuibadili, wala hawatawapa wengine malimbuko ya
Na mianzi elfu tano iliyosalia katika upana, kuikabili hiyo ishirini na tano
Na vipimo vyake ni hivi; upande wa kaskazini elfu nne na mia tano, na upande wa
Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mia mbili na hamsini, na upande
Na mabaki ya urefu wake yaelekeayo matoleo matakatifu, upande wa mashariki
Na hao wafanyao kazi mjini, wa kabila zote za Israeli, watailima nchi hiyo.
Matoleo yote yatakuwa ishirini na tano elfu, kwa ishirini na tano elfu; mtatoa
Nayo mabaki yake yatakuwa ya huyo mkuu, upande huu na upande huu wa matoleo
Tena tokea milki ya Walawi, na tokea milki ya mji, kwa kuwa ni katikati ya nchi
Na katika habari za kabila zilizosalia; toka upande wa mashariki hata upande wa
Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Isakari, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Zabuloni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi;
Na mpakani mwa Gadi, upande wa kusini kuelekea kusini, mpaka wake utakuwa toka
Hiyo ndiyo nchi mtakayozigawanyia kabila za Israeli, kuwa urithi wao, na hayo
Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano,
na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu
Na upande wa mashariki, elfu nne na mia tano, kwa kupima; na malango matatu;
Na upande wa kusini, elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango
Na upande wa magharibi, elfu nne na mia tano; pamoja na malango yake matatu;
Kuuzunguka ni mianzi kumi na nane elfu; na jina la mji huo tangu siku hiyo