Ezekieli Mlango 42 Ezekiel
Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, njia ya kuelekea upande wa kaskazini;
kukabili urefu wa dhiraa mia palikuwa na mlango wa kaskazini, na upana wake ni
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa
Na mbele ya vile vyumba palikuwa na njia, upana wake dhiraa kumi upande wa ndani,
Basi vile vyumba vya juu vilikuwa vifupi zaidi; kwa maana baraza zile
Maana vilikuwa vina orofa tatu, wala havikuwa na nguzo kama nguzo za zile nyua;
Na ukuta ule uliokuwa nje, ubavuni mwa vyumba vile, ulioelekea ua wa nje,
Maana urefu wa vyumba vile, vilivyokuwa katika ua wa nje, ulikuwa dhiraa hamsini;
Na toka chini ya vyumba vile palikuwa na mahali pa kuingilia upande wa mashariki,
Tena palikuwa na vyumba katika unene wa ukuta wa ua, kuukabili upande wa
Nayo njia iliyokuwa mbele yake, kuonekana kwake kulikuwa kama kuonekana kwake
Na sawasawa na milango ya vyumba, vilivyoelekea upande wa kusini, palikuwa na
Kisha akaniambia, Vyumba vya upande wa kaskazini, na vyumba vya upande wa
Makuhani watakapoingia ndani, hawatatoka mahali patakatifu kwenda hata ua wa
Basi, alipokuwa amekwisha kuipima nyumba ya ndani, akanileta nje, kwa njia ya
Akaupima upande wa mashariki kwa mwanzi wa kupimia, mianzi mia tano, kwa mwanzi
Akaupima upande wa kaskazini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Akaupima upande wa kusini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Akageuka aelekee upande wa magharibi, akapima mianzi mia tano, kwa mwanzi wa
Alipima pande zake zote nne; lilikuwa na ukuta pande zote, urefu wake mianzi mia