Ezekieli Mlango 31 Ezekiel
Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa tatu, siku ya kwanza ya mwezi, neno
Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na
Tazama, Mwashuri alikuwa mwerezi katika Lebanoni, wenye matawi mazuri, na
Maji yalimlisha, vilindi vilimsitawisha; mito yake ilipita pande zote za miche
Basi kimo chake kilitukuzwa kuliko miti yote ya kondeni, na vitanzu vyake
Ndege wote wa angani walifanya vioto vyao katika vitanzu vyake, na chini ya
Basi hivyo alikuwa mzuri katika ukuu wake, katika urefu wa matawi yake; maana
Mierezi ya bustani ya Mungu haikuweza kumficha; misunobari haikuwa kama vitanzu
Nalimfanya kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake; hata miti yote ya Adeni,
Basi Bwana MUNGU asema hivi; kwa kuwa umetukuzwa kimo chako, naye ameweka kilele
mimi nitamtia katika mikono yake aliye mkuu kati ya mataifa; naye atamtenda
Na wageni, watu wa mataifa watishao, wamemkatilia mbali na kumwacha; juu ya
Juu ya magofu yake ndege wote wa angani watakaa, na wanyama wote wa jangwani
kusudi mti wo wote, ulio karibu na maji, usijitukuze kwa sababu ya kimo chake,
Bwana MUNGU asema hivi, Katika siku ile alipotelemka mpaka kuzimu naliamuru
Niliwatetemesha mataifa kwa mshindo wa kuanguka kwake, hapo nilipomtupa chini
Hao nao walitelemka kuzimuni pamoja naye kwa watu waliouawa kwa upanga; naam,
Umefanana na nani, hivi katika utukufu na ukuu, kati ya miti ya Adeni? Lakini