Ezekieli Mlango 28 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia tena, kusema,
Mwanadamu, mwambie mkuu wa Tiro, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa moyo wako
Tazama, una hekima kuliko Danieli; hapana neno la siri watu wawezalo kukuficha;
kwa hekima yako na kwa fahamu zako umejipatia utajiri, nawe umepata dhahabu na
kwa hekima yako nyingi, na kwa biashara yako, umeongeza utajiri wako, na moyo
basi, kwa hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa umeweka moyo wako kama moyo wa
basi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kutisha; nao
Watakushusha hata shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari.
Je! Utazidi kusema mbele yake huyo akuuaye, Mimi ni Mungu? Lakini u mwanadamu,
Utakufa kifo cha hao wasiotahiriwa, kwa mikono ya wageni; kwa maana mimi
Tena neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, umfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, umwambie, Bwana MUNGU asema hivi;
Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko
Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa
Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu
Kwa wingi wa uchuuzi wako watu walikujaza udhalimu ndani yako, nawe umetenda
Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu
Kwa wingi wa maovu yako, katika uovu wa uchuuzi wako, umepatia unajisi
Wote wakujuao kati ya kabila za watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha,
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, uuelekezee Sidoni uso wako, ukatabiri juu yake,
useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Sidoni, nami
Maana nitampelekea tauni, na damu, katika njia kuu zake, na hao waliotiwa jeraha
Wala hautakuwapo mchongoma uchomao kwa nyumba ya Israeli; wala mwiba uumizao
Bwana MUNGU asema hivi; Nitakapokuwa nimewakusanya nyumba ya Israeli, na kuwatoa
Nao watakaa humo salama; naam, watajenga nyumba, na kupanda mashamba ya