Ezekieli Mlango 32 Ezekiel
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya
Mwanadamu, mfanyie Farao, mfalme wa Misri, maombolezo, umwambie, Ulifananishwa na
Bwana MUNGU asema hivi; Nitautanda wavu wangu juu yako, kwa kusanyiko la watu wa
Nami nitakuacha juu ya nchi kavu, nitakutupa juu ya uso wa uwanda, nami
Nami nitaweka nyama yako juu ya milima, na kuyajaza mabonde kwa urefu wako.
Tena kwa damu yako nitainywesha nchi, ambayo waogelea juu yake, hata milimani; na
Nami nitakapokuzimisha, nitazifunikiza mbingu, na kuzifanya nyota zake kuwa giza;
Mianga yote ya mbinguni iangazayo nitaifanya kuwa giza juu yako, nami nitatia
Tena nitawakasirisha watu wengi mioyo yao, nitakapoleta uangamivu wako kati ya
Nami nitawashangaza watu wa kabila nyingi kwa habari zako, na wafalme wao
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujilia.
Kwa panga za mashujaa nitawaangusha watu wako wote jamii; hao wote ni watu wa
Tena nitawaharibu wanyama wake wote, toka kando ya maji mengi; na mguu wa
Ndipo nitakapoyafanya maji yao kuwa safi, na kuiendesha mito yao kama mafuta,
Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa ukiwa na jangwa, nchi iliyopungukiwa na vitu
Hayo ndiyo maombolezo watakayoomboleza; binti za mataifa wataomboleza kwa hayo;
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la
Mwanadamu, walilie watu wa Misri. Wote jamii ukawabwage, naam, yeye, na binti za
Umemshinda nani kwa uzuri? Shuka, ukalazwe pamoja na wasiotahiriwa.
Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametokwa apigwe na upanga; mvuteni
Walio hodari watasema naye, toka kati ya kuzimu pamoja nao wamsaidiao; wameshuka
Ashuru yuko huko, na watu wake wote jamii; makaburi yake yamzunguka; wote pia
ambao makaburi yao yamewekwa pande za shimo zilizo mbali sana, wote jamii
Elamu yuko huko, na watu wake wote jamii, pande zote za kaburi lake; wote pia
Wamemwekea kitanda kati ya hao waliouawa, pamoja na watu wake wote jamii;
Mesheki yuko huko, na Tubali, na watu wake wote jamii; makaburi yake yamzunguka;
Je! Wasilale pamoja na mashujaa wao wasiotahiriwa, walioanguka, walioshuka
Lakini utavunjika kati ya hao wasiotahiriwa, nawe utalala pamoja nao waliouawa
Edomu yuko huko, wafalme wake, na wakuu wake wote, ambao katika uwezo wao
Wakuu wa kaskazini wako huko, wote pia, na Wasidoni, wote walioshuka pamoja na
Farao atawaona, naye atapata faraja juu ya watu wake wote jamii; naam, Farao,
Kwa maana nimeweka utisho wake katika nchi ya walio hai; naye atalazwa kati yao