Ezekieli Mlango 33 Ezekiel
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya
ikiwa, aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu;
basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na
Aliisikia sauti ya tarumbeta, wala hakuonywa; damu yake itakuwa juu yake; lakini
Bali mlinzi akiona upanga unakuja, kama hapigi tarumbeta, wala watu hawakuonywa,
Basi wewe, mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; basi ulisikie
Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la
Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye
Na wewe, mwanadamu, sema na nyumba ya Israeli; Ninyi mwasema hivi, kwamba,
Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu
Na wewe, mwanadamu, waambie wana wa watu wako, Haki yake mwenye haki
Nimwambiapo mwenye haki, ya kwamba hakika ataishi; kama akiitumainia haki yake,
Tena, nimwambiapo mtu mwovu, Hakika utakufa; kama akighairi, na kuiacha dhambi
kama mtu mwovu akirudisha rehani, na kumrudishia mtu mali yake aliyomnyang'anya,
Katika dhambi zake zote alizozitenda, hata mojawapo haitakumbukwa juu yake;
Walakini wana wa watu wako husema, Njia ya Bwana si sawa; lakini watu hao, njia
Mwenye haki ageukapo, na kuiacha haki yake, na kutenda maovu, atakufa katika
Na mtu mbaya ageukapo, na kuuacha ubaya wake, na kutenda yaliyo halali na haki,
Lakini ninyi husema, Njia ya Bwana si sawa. Ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu
Ikawa, katika mwaka wa kumi na mbili wa kuhamishwa kwetu, mwezi wa kumi, siku ya
Basi mkono wa Bwana umekuwa juu yangu wakati wa jioni, kabla hajafika yeye
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Mwanadamu, watu wale wakaao mahali palipoharibika katika nchi ya Israeli husema
Basi, waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Mnakula nyama pamoja na damu yake, na
Mnategemea upanga wenu, mnatenda machukizo, mnanajisi kila mtu mke wa jirani
Hivi ndivyo utakavyowaambia, Bwana MUNGU asema hivi; Kama mimi niishivyo, hakika
Nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa na ajabu, na kiburi cha uwezo wake kitakoma;
Ndipo watakapojua ya kuwa mimi ndimi Bwana, nitakapoifanya nchi kuwa ukiwa na
Nawe, mwanadamu, wana wa watu wako husimulia habari zako karibu na kuta, na
Nao huja kwako kama watu wajavyo, nao hukaa mbele yako kama watu wangu, nao
Na tazama, wewe umekuwa kwao kama wimbo mzuri sana, wa mtu mwenye sauti
Na hayo yatakapokuwapo (tazama, yanakuja), ndipo watakapojua ya kuwa nabii