Ezekieli Mlango 44 Ezekiel
Kisha akanirudisha kwa njia ya lango lile la nje, la mahali patakatifu
Bwana akaniambia, Lango hili litafungwa, halitafunguliwa, wala mtu awaye yote
Na mkuu, yeye ndiye atakayeketi ndani yake ale chakula mbele za Bwana; ataingia
Kisha akanileta, kwa njia ya lango la upande wa kaskazini, mbele ya nyumba;
Bwana akaniambia, Mwanadamu, weka moyoni mwako, ukatazame kwa macho yako,
Nawe utawaambia waasi, yaani nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Enyi
kuwa mmewaingiza wageni, ambao mioyo yao haikutahiriwa, wala miili yao
Wala hamkuvilinda vitu vyangu vitakatifu bali mmejiwekea walinzi wa kawaida
Bwana MUNGU asema hivi; Hapana mgeni, ambaye moyo wake haukutahiriwa, wala mwili
Lakini Walawi waliofarakana nami, hapo Waisraeli walipopotea, waliopotea na
Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa
Kwa sababu waliwahudumia mbele ya vinyago vyao, wakawa kwazo la uovu kwa nyumba
Wala hawatanikaribia, kunihudumia katika kazi ya ukuhani, wala hawatakaribia
Lakini nitawafanya kuwa walinzi katika ulinzi wa nyumba, kwa huduma yake yote,
Lakini makuhani Walawi, wana wa Sadoki, waliolinda ulinzi wa patakatifu pangu,
wataingia patakatifu pangu, nao wataikaribia meza yangu, ili kunihudumia, nao
Itakuwa, hapo watakapoingia kwa malango ya ua wa ndani, watavikwa mavazi ya
Watakuwa na vilemba vya kitani juu ya vichwa vyao, nao watakuwa na suruali za
Nao watakapotoka kuingia ua wa nje, yaani, ua wa nje wa watu, ndipo
Hawatanyoa vichwa vyao, wala hawataacha nywele zao kuwa ndefu sana;
Wala kuhani awaye yote hatakunywa mvinyo, aingiapo katika ua wa ndani.
Wala hawataoa wanawake wajane, wala mwanamke aliyeachwa na mume wake; lakini
Nao watawafundisha watu wangu tofauti iliyopo kati ya vitu vitakatifu na vitu
Na katika mashindano watasimama ili kuamua; wataamua sawasawa na hukumu zangu;
Wala hawatakaribia maiti na kujitia unajisi; ila kwa ajili ya baba, au mama, au
Naye akiisha kutakaswa watamhesabia siku saba.
Na katika siku atakayoingia ndani ya patakatifu, katika ua wa ndani, ili
Nao watakuwa na urithi; mimi ni urithi wao; wala hamtawapa milki iwayo yote
Wataila sadaka ya unga, na sadaka ya dhambi, na sadaka ya hatia, na kila kitu
Na kitu cha kwanza cha malimbuko yote ya vitu vyote, na kila toleo la kila kitu
Makuhani hawatakula nyamafu, au iliyoraruliwa, ikiwa ya ndege au ya mnyama.