Ezekieli Mlango 41 Ezekiel
Akanileta mpaka hekaluni, akaipima miimo, upana wake dhiraa sita upande mmoja, na
Na upana wa maingilio yake ulikuwa dhiraa kumi; na mbavu za maingilio zilikuwa
Kisha akaingia ndani, akapima kila mwimo wa maingilio, dhiraa mbili; nayo
Akaupima urefu wake; dhiraa ishirini, na upana wake, dhiraa ishirini, mbele ya
Kisha akaupima ukuta wa nyumba, dhiraa sita; na upana wa kila chumba cha mbavuni,
Na vile vyumba vya mbavuni vilikuwa na orofa tatu, moja juu ya mwenziwe; vilikuwa
Na vile vyumba vya mbavuni vilizidi kuwa vipana, kwa kadiri vilivyoizunguka
Tena, nikaona ya kwamba nyumba ile ilikuwa na sakafu ya mawe, iliyoinuliwa pande
Unene wa ukuta uliokuwa wa vile vyumba vya mbavuni, upande wa nje, ulikuwa dhiraa
na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote.
Na milango ya vile vyumba vya mbavuni iliielekea nafasi ile iliyobaki, mlango
Nalo jengo lililokabili mahali palipotengeka upande wa magharibi, upana wake
Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia; na mahali pale palipotengeka na
tena upana wa uso wa nyumba, na wa mahali palipotengeka upande wa mashariki,
Akaupima urefu wa jengo lile lililokabili mahali palipotengeka, palipokuwa nyuma
na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za orofa zile
na mpaka juu ya mlango hata nyumba ya ndani, na nje, na juu ya kuta zote pande
kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na
basi palikuwa na uso wa mwanadamu kuelekea mtende mmoja, na uso wa mwana-simba
Toka chini hata juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi
Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu
Madhabahu ilikuwa ni ya miti, kimo chake dhiraa tatu, na urefu wake dhiraa
Nalo hekalu na patakatifu palikuwa na milango miwili.
Na milango hiyo, kila mmoja ulikuwa na mbao mbili; mbao mbili zigeukazo; mbao
Na milango ya hekalu ilifanyiziwa makerubi na mitende vile vile, kama zile kuta
Tena palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na mitende, upande huu na upande huu,